YAAPHA

YAAPHA 2011

Saturday, July 20, 2013

CHAKULA CHA PAMOJA NA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU.

Hafla hii ndogo ilifanyika tarehe 14-07-2013 kwa udhamini wa  Catherine Steven Kutoka Marekani.
Tunamshukuru sana Huyu ndugu yetu Catherine kwa kuona umuhimu kuwakutanisha hawa watoto angalau kwa siku moja na kujumuika nao kwa chakula cha jioni, pia aliweza kutoa mahindi gunia 2 , mafuta ya kula lita 40, mchele kg 70 pamoja na unga wa ugali kg 100. Kwa yeyote atakae ona anaweza kutoa mchango wowote kwa watoto hawa awasiliane nasi kwamba namba zifuatazo: 0754042370,  ni namba za  Project Coordinator Ndugu Peter Bundala ,  E-mail: yaapha2011@gmail.com.No comments: